Loading...
Home Habari Rais Magufuli akikusanya sadaka kwa Waandishi wa Habari (+picha)

Rais Magufuli akikusanya sadaka kwa Waandishi wa Habari (+picha)

226
SHARE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli akikusanya sadaka kwa wandishi wa habari wa Mkoa wa Mbeya wakati wa Misa takatifu ya kumsimika rasmi Askofu Mkuu Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mbeya, Gervas Nyaisonga, ibada ambayo ilifanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

L

Facebook Comments