Loading...
Home Habari HAKUNA MTU MUONGO KAMA CAG – WAZIRI LUGOLA

HAKUNA MTU MUONGO KAMA CAG – WAZIRI LUGOLA

134
SHARE

Waziri wa Mambo ya Ndani, Lugola amesema hakuna mtu muongo kama CAG na kwamba yupo tayari kuweka uwaziri wake rehani, ikiwa itabainika kuwa taarifa zake za ukaguzi kuhusu sare hewa za jeshi la polisi zilizogharimu Sh16bilioni ni ya kweli.

“Sijawahi kuona mtu muongo kama CAG, Jeshi la Polisi hakuna sare hewa. Ninaomba maofisa wa ofisi ya CAG twende nao stoo wakaone sare mpya za jeshi la polisi. Kama nasema uongo nitajivua nguo na ninaweka uwaziri wangu rehani” – Waziri Lugola.

Facebook Comments