Loading...
Home Habari ELIMU YA UZAZI KWA WANAWAKE :Sababu za kutokushika mimba na suluhisho lake

ELIMU YA UZAZI KWA WANAWAKE :Sababu za kutokushika mimba na suluhisho lake

146
SHARE


-Kwanza kabisa yakupasa kufahamu nini sababu ya mwanamke kutokushika mimba.
-Nini sababu za kukosa hamu ya tendo la ndoa.

Tukianza na sababu za kutokushika mimba. Zipo sababu nyingi ila zifuatazo ndizo kuu na ambazo huwasumbua wengi.

1) Uvimbe, kuna aina mbili za uvimbe
_ Fibroids
_ PID (Pelvic inflammatory diseases)
Uvimbe unaweza kusababisha mafuta au maji kwenye kizazi na hii hupelekea mwanamke kutokushika mimba.

2) mvurugano wa homoni ( homonym imbalance). Mara nyingi husababishwa na mtu kuwa na stress pamoja na ulaji mbovu. Dalili za mtu mwenye hili tatizo ni kama, kupata maumivu ya tumbo chini ya kitovu, siku zake kutokueleweka, maumivu makali ya kiuno na mgongo.

3) Fangasi sugu, huingia mpaka kwenye mfumo wa uzazi na hivyo hupelekea mwanamke kutokushika mimba.

4) matatizo ya UTI sugu, hii husababishwa na bacteria ambae hukaa chooni na huambukiza kwa njia ya kushirikiana au kutumia choo kichafu na mwathirika. Au choo kichafu kwa ujumla.

5)PID sugu. Huu ni uvimbe mdogo mdogo kwenye mfumo wa uzazi. Pia hupelekea mwanamke kutokwa na uchafu wa rangi mbalimbali, ikiwemo kijani,njano nk

6)mirija ya uzazi kuziba. Hii inaweza kusababishwa na mafuta machafu mwilini (cholesterol)

7) Kutoa mimba.

Kupata suluhisho la hizi sababu au kama unasumbuliwa na moja kati ya hizi fanya maamuzi ya kuwasiliana nasi mapema iwezekanavyo nasi tutakusaidia kwa tiba bora kabisa na ya uhakika isiyo na madhara yoyote. Tunatoa tiba ya lishe au nutritional supplement ndani ya muda mchache sana.

Tiba ya
_ kufungua mirija(kuondoa mafuta machafu yaliyoziba mirija ya uzazi
_kuondoa kabisa uvimbe kwenye mfumo wa uzazi
_kumaliza kabisa tatizo la UTI sugu
_kurudisha katika hali ya kawaida homoni ambazo hazijabalance
_kuondoa fangas sugu
_kuondoa kabisa tatizo la kutokwa na uchagu au PID SUGU

Mawasiliano
0658123219
WhatsApp
0658123219

Facebook Comments