Loading...
Home Michezo Video:Simba wamekubali kichapo cha magoli 2-0 dhidi ya JS Saoura.

Video:Simba wamekubali kichapo cha magoli 2-0 dhidi ya JS Saoura.

50
SHARE

Simba sasa anatakiwa kushinda mechi yake dhidi ya AS Vita Jumamosi ijayo kwenye uwanja wa taifa huku akiomba Al Ahly wawafungwe na JS Soura au Al Ahly aifunge JS Saoura.

Facebook Comments