Loading...
Home Habari BREAKING: Mtangazaji wa Clouds FM Kibonde amefariki

BREAKING: Mtangazaji wa Clouds FM Kibonde amefariki

1047
SHARE

Leo March 7, 2019 Taarifa iliyotufikia muda huu ni kwamba Mtangazaji wa Clouds FM Ephraim Kibonde amefariki dunia,

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amethibitisha kwamba Kibonde amefariki akiwa Mwanza, alianza kusumbuliwa na Presha toka Bukoba kwenye msiba wa Ruge Mutahaba na kuhamishiwa Mwanza .

Facebook Comments