Loading...
Home Michezo Ole Gunnar Solskjaer hafungiki ligi kuu ya Uingereza

Ole Gunnar Solskjaer hafungiki ligi kuu ya Uingereza

184
SHARE

Klabu ya Manchester United imweza kupata ushindi wa saba chini ya kocha wake wa muda Ole Gunnar Solskjaer baada ya kuipiga Brighton 2-1 katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa kwenye dimba la Old Trafford.

Magoli ya ya Man United yalifungwa na Paul Pogba dakika ya 27 kwa mkwaju wa penati na la pili lilifungwa na Marcus Rashford dakika ya 42 na lile la Brighton lilifungwa na Pascal Gross dakika ya 72.

Facebook Comments