Loading...
Home Burudani na Wasanii VideoMPYA: Member wa Rottern Blood Myson ametuletea ‘Fundi’ karibu kuitazama

VideoMPYA: Member wa Rottern Blood Myson ametuletea ‘Fundi’ karibu kuitazama

186
SHARE

Leo January 14, 2018 nakusogezea video mpya ya member wa Kundi la Rottern Blood anaitwa Myson akiwa amemshirikisha Big born wimbo unaitwa ‘Fundi’, Director ni Moe Kaali na Producer ni Mesen Selekta…Bonyeza PLAY hapa chini kutazama kisha usisahau kuweka comment yako.

Facebook Comments