Loading...
Home Burudani na Wasanii Penzi jipya la Dogo Janja lapamba moto, wa-kiss hadharani, wapi Uwoya?

Penzi jipya la Dogo Janja lapamba moto, wa-kiss hadharani, wapi Uwoya?

302
SHARE

Mwimbaji Dogo Janja amechukua headlines kwenye mitandao ya kijamii hii ni ya kusambaa kwa videos zikimuonyesha akiwa na mwanamke asiyefahamika jina na wengi kudai kuwa Irene Uwoya amepinduliwa kwa Dogo Janja, ikiwa mapa sasa wawili hao hawajaweka wazi kuachana.

Facebook Comments