Loading...
Home Burudani na Wasanii Lulu Michael kugawa nguo zake zote

Lulu Michael kugawa nguo zake zote

127
SHARE

Msanii wa Filamu Bongo, Elizabetha Michael Lulu amepanga kugawa nguo zake ingawa bado hajaeleza sababu ya kufanya ni hivyo.
Mrembo huyo kutoka kiwanda cha filamu ametumia mtandao wa Snapchart kueleza hilo.

Facebook Comments