Loading...
Home Habari MAAJABU: HANA MIGUU WALA MIKONO, APANDA MLIMA KILIMANJARO – VIDEO

MAAJABU: HANA MIGUU WALA MIKONO, APANDA MLIMA KILIMANJARO – VIDEO

153
SHARE

Kutana na Kyle Maynard raia wa Marekani aliyeweza kuupanda Mlima Kilimanjaro huku akiwa hana Miguu wala Mikono.

Watu wenye ulemavu imeonekana kuwa ngumu sana kwao kuweza kufanya mambo makubwa ikiwemo kuupanda Mlima huo mrefu zaidi barani Afrika, lakini kwake Kyle ilikuwa ni kazi rahisi sana kuweza kufanikisha hilo na hivyo kuvunja rekodi duniani.

Facebook Comments