Loading...
Home Burudani na Wasanii Video: BREAKING: Diamond Platnumz Aanguka Stejini Sumbawanga

Video: BREAKING: Diamond Platnumz Aanguka Stejini Sumbawanga

425
SHARE

Msanii Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameanguka stejini wakati akifanya shoo jioni ya leo katika Uwanja wa Nelson Mandela Sumbawanga .
Kabla ya kuangua Diamond alikuwa akiiimba wimbo wa Zilipendwa akiwa na Mbosso na Rayvan huku wakirukaruka na baadae gafla steji ilifunuka na kupeleka Diamond na Rayvan kuanguka chini ya steji.
Tazama kipande cha video hapa chini

Facebook Comments