Loading...
Home Habari Mhandisi Wa Mv Nyerere Aokolewa Akiwa Hai ….Lakini hawezi kuongea

Mhandisi Wa Mv Nyerere Aokolewa Akiwa Hai ….Lakini hawezi kuongea

378
SHARE
Mmoja wa Mainjinia wa Kivuko cha Mv.Nyerere kilichopata ajali ya kuzama ziwa Victoria ameokolewa muda mfupi uliopita akiwa hai japo hali yake ni mbaya lakini anapatiwa huduma.
Imeelezwa fundi huyo alikuwa amekwama kwenye moja ya vyumba vya manahodha na alikuwa akigongagonga vitu ili waokoaji wamsikie jambo ambalo limetimia.
Lakini hawezi kuongea kutokana na hali yake kuwa mbaya baada ya kukaa ndani ya maji kwa takribani siku tatu.

Facebook Comments