Loading...
Home Burudani na Wasanii Gigy Money: Lazima Nitembee na Mtoto wa Zari na Ntazaa Nae

Gigy Money: Lazima Nitembee na Mtoto wa Zari na Ntazaa Nae

1338
SHARE
Msanii wa muziki Bongo, Gigy Money amefunguka na kudai kuwa ana mpango wa kuzaa na mtoto wa kwanza wa Zari The Bosslady.
Muimbaji huyo akipiga stori na SnS Tanzania (Simulizi na Sauti) amesema atafanya hivyo ili Zari aweze kumuheshimu kama mkwe wake.
“Sasa Zari, mimi ninachokuaidi kitu kimoja, lazima nizae na mtoto wako wa kwanza halafu wewe utakuwa bibi wa mwanangu ndio utaniheshimu. Atakuwa mama Mkwe wangu na hatoamini, mimi nitapita na mwanae wa kwanza na nitazaa naye,” amesema Gigy Money.
Kauli ya muimbaji huyo inakuja ikiwa ni muendelezo wa beef kati ya warembo hawa, Gigy na Zari

Facebook Comments