Loading...
Home Habari MATUKIO MAWILI YALIYOTIKISA MBEYA: Baba aua Mwanae, Mifupa ya Marehemu yaibwa

MATUKIO MAWILI YALIYOTIKISA MBEYA: Baba aua Mwanae, Mifupa ya Marehemu yaibwa

227
SHARE

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya wametusogezea matukio mawili yaliyotikisa mkoa huo la kwanza ni Mwanaume mmoja anaefahamika kwa jina la Geofrey Emilio anashikiliwa kutokana na kumuua mtoto wake aitwaye Prince Geofrey mwenye umri wa miezi 5.

Tukio la pili ni ni msako wa watu wanaodaiwa kufukua kaburi na kisha kuchukua mifupa ya mwili wa marehemu ambaye alikuwa na ulemavu wa ngozi [Albinism].

Matukio hayo yameelezewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Modestus Chambu akizungumza na Waandishi wa Habari.

Facebook Comments