Loading...
Home Burudani na Wasanii DUDE JIPYA LA HARMONIZE – ‘ATARUDI OFFICIAL VIDEO’

DUDE JIPYA LA HARMONIZE – ‘ATARUDI OFFICIAL VIDEO’

756
SHARE

MSANII Harmonize kutoka WCB ameachia video ya wimbo wake mpya wa Atarudi, ambapo video ya wimbo huo imeongozwa na Zoom Production na imefanyika nchini Nigeria.

Kutazama video hiyo kirahisi, Ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:

Facebook Comments