Loading...
Home Burudani na Wasanii VideoMPYA: Madee kaja na ‘Joka la Kibisa’

VideoMPYA: Madee kaja na ‘Joka la Kibisa’

1601
SHARE

Staa wa muziki wa Bongofleva kutokea Manzese TipTop Conection Madee leo ameamua kuachia video yake mpya aliyoipa jina la ‘Joka la Kibisa’ Madee anakualika kuitazama na usisite kuacha comment yako atapita kuisoma.

Facebook Comments