Loading...
Home Habari Sokwe aliyekuwa anaongea lugha ya ishara amefariki

Sokwe aliyekuwa anaongea lugha ya ishara amefariki

192
SHARE

Koko ni sokwe ambaye alikuwa amejifunza Lugha ya ishara ya Marekani, amefariki huko California akiwa na umri wa miaka 46.
Sokwe huyo wa Magharibi Kaskazini mwa Marekani alikufa akiwa usingizini katika hifadhi ya Milima ya Santa Cruz California Jumanne, kulingana na mtunzaji wa hifadhi ya sokwe huyo.
“Koko – Sokwe ambaye alijulikana kwa ujuzi wake wa ajabu wa lugha ya ishara, na kama balozi mkuu wa wanyama wake waliohatarishwa alikufa jana asubuhi,” taarifa kutoka kwa Mtunzaji wa hifadhi

Facebook Comments