Loading...
Home Habari Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti...

Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania

365
SHARE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Yohana Luhunga Budeba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI).
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Dkt. Budeba umeanza June 20, 2018.

Facebook Comments