Loading...
Home Habari Zijue Dalili za ugonjwa wa Presha

Zijue Dalili za ugonjwa wa Presha

239
SHARE

Ugonjwa wa presha umekuwa gumzo karibu duniani kote, ambapo wataalamu wa afya wameeleza ya kwamba, ugonjwa wa presha ni ile hali ambayo husababishwa na moyo kushindwa kusukuma damu kama inavyotakiwa.

Na miongoni mwa chanzo kinachosababisha ugonjwa huo huenda ikawa ni sababu ya msongo wa mawazo, unene kupindukia, uvutaji wa sigara, mazingira ya mfadhaiko ambayo husababisha mtu kukosa amani ya moyo na sababu nyinginezo nyingi.

Na zifuatazo ni Dalili kuu za Presha.

Uchovu wa mwili.
Matatizo ya macho
Hali ya kichefuchefu na kutapika
Hali ya woga ambao husababisha mstuko.
Kupauka kwa ngozi.
Kupumua kwa shinda

Ila kumbuka ili kuondokana na ugonjwa huu unatakiwa kuepuka visabibshi vya ugonjwa huu, kama ambavyo tumeeleza hapo juu.

Facebook Comments