Loading...
Home Habari PICHA: Mafundi wametengeneza Majeneza kama Samaki

PICHA: Mafundi wametengeneza Majeneza kama Samaki

387
SHARE

Leo June 1, 2018 Dunia haiishi vituko kila kukicha unaambiwa hivi huko nchini Ghana mafundi wanaotengeneza majeneza wamejichukulia umaarufu mkubwa duniani kwa kuwa wabunifu wa kutengeneza majeneza yenye maumbo mbalimbali yenye kushangaza.

Zamu hii wamekuja na jeneza lenye umbo mfano wa samaki na inaaminika jeneza hili linatoka huko Teshi ambako kuna jamii ya wavuvi iliyo nje kidogo na mji mkuu wa Accra.

Facebook Comments