Loading...
Home Burudani na Wasanii Live:Tazama Picha Kutoka Katika Sherehe ya Ali Kiba na Abdu Kiba Usiku...

Live:Tazama Picha Kutoka Katika Sherehe ya Ali Kiba na Abdu Kiba Usiku Huu

5332
SHARE

Leo ndio ule usiku tuliokuwa tukiusubiria sisi mashabiki wa muziki mzuri.
Maharusi washaingia ukumbini, kwa sasa First Lady Mstaafu, Bi Salma anawapa vijana mawaidha.
Kuna watu maarufu wengi wamehudhuria kutoka Tanzania na Kenya pia.
Tuwatakie maisha mema vijana hawa

Facebook Comments