Loading...
Home Burudani na Wasanii PICHA & VIDEO LIVE: SIMANZI NZITO WASANII WALIPOONA KABURI LA MASOGANGE

PICHA & VIDEO LIVE: SIMANZI NZITO WASANII WALIPOONA KABURI LA MASOGANGE

2009
SHARE

Masogange alifariki dunia Ijumaa iliyopita katika kituo cha Huduma za Afya cha Mama Ngomakilichopo Mwenge jijini Dar ambapo jana aliagwa katika Viwanja vya Leaders na kusafirishwa kwenda kwao kuzikwa.

MWILI wa msanii, Agness Gerald ‘Masogange’ tayari umeshawasili nyumbani katika kijiji cha Utengule, Mablizi, mkoani Mbeya tayari kwa taratibu za mazishi.

Masogange alifariki dunia Ijumaa iliyopita katika kituo cha Huduma za Afya cha Mama Ngoma kilichopo Mwenge jijini Dar ambapo jana aliagwa katika Viwanja vya Leaders na kusafirishwa kwenda kwao kuzikwa.

Facebook Comments