Loading...
Home Burudani na Wasanii Diamond Aelezea Njia Rahisi ya Kuishi Mjini

Diamond Aelezea Njia Rahisi ya Kuishi Mjini

388
SHARE

Msanii Diamond Platnumz ametoa somo la namna watu wanavyotakiwa kuishi mjini.

Muimbaji huyo wa ngoma ‘Waka’ amesema ingawa kila mmoja anauelewa wake ila ni muhimu kutoa nafasi kwa wengine kuongeze kitu kwa kile ambacho unakijua.

“Unajua mjini sio kuishi kwa kujua ni, ni namna unavyoishi na watu tu, inawezekana mimi ninajua kitu kuishia hapa lakini kumbe wewe unajua kuanzia nilipoishia mimi na kwenda mbele,” Diamond amesema hayo katika Interview na Bagdad.

Facebook Comments