Loading...
Home Habari PICHA 8: Mfahamu binadamu mwenye nywele nyingi zaidi duniani

PICHA 8: Mfahamu binadamu mwenye nywele nyingi zaidi duniani

800
SHARE

January 10, 2018 nakusogezea stori kutoka katika Mtandao wa World Ranking ambapo umemtaja Yu Zhenhuan wa China  kuwa ndiye mwanaume mwenye nywele nyingi zaidi duniani. Mwili wa Yu Zhenhuan umefunikwa na nywele nyingi tofauti na binadamu wengine hali iliyosababishwa na yeye kuwa na ugonjwa unaofahamika Hypertrichosis.

Sasa anataka kuondoa sehemu muhimu ya nywele kutoka kwenye mwili wake. Lakini nywele zote zitahitajika kuteketezwa kwa laser na utaratibu huu utamsababishia maumivu makali sana katika mwili wake. Yu Zhenhuan amekuwa kwa muda mrefu anaishi na mkewe ambaye amekuwa akimsaidia kupata njia ya kumwezesha kupunguza nywele katika mwili wake huo

Facebook Comments