Loading...
Home Habari Breaking news: Chadema wazidi kumkana Lowasa Sikiliza kauli ya Mbowe hapa

Breaking news: Chadema wazidi kumkana Lowasa Sikiliza kauli ya Mbowe hapa

447
SHARE

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe apingana na aliyekuwa Mgombea Urais kupitia chama hicho 2015, Edward Lowassa.

Amesema kuwa alichokisema Lowassa leo alipotembelea Ikulu ya Tanzania ni msimamo wake binafsi na wala sio msimamo wa CHADEMA. Ameyasema hayo akihojiwa na DW jioni hii.

Bwana Mbowe ameelezea matukio kadhaa yanayoonyesha utendaji ubovu wa serikali ya Magufuli ikiwemo suala la kuendesha nchi pasipo kufuata katiba ya nchi, masuala ya kunyanyasa Bunge na wabunge na kadhalika..

Facebook Comments